“Hii mashine unavyoiona wamiliki ni Wachina, nimeiweka hapa kwa ajili ya wateja wangu wa vinywaji, wakija hapa wengine wanapata kinywaji, wengine wanacheza kamari maisha yanaendelea. “Ugomvi kwenye familia hii ulikuwa hauishi. Chanzo ni tabia ya mwanamume kubeti, kucheza kamari na kuvuta bangi hadi kusahau kuhudumia familia hivyo mkewe kuf